Mada maalum ya walevi na wanywa Pombe

Mada maalum ya walevi na wanywa Pombe

Mzee baba tupo nmkja sehemu mngolea mzee wangu mmja kisiiiki hku Bunju nahsi nmearibu kazi ila kwa sababu yeye mtu wa vyombo najua ataelewaaa kazi na dawa

Ova
20181111_103806.jpg
 
Wangoa kisiiiki tulianzia kupiga vitu kmbe nao wazee wa kuvesha ahh najuta kuwapa gambeee hpa kila mtu mjuaji kila mtu anasema lake yaani tafrani [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Ova
20181111_112817.jpg
 
Kwa heshima kubwa... Hii kaliba itambuliwe rasmi kama mdau mkubwa wa maendeleo hasa kwenye eneo la ulipaji kodi.. Ndio mshindi wa kwanza kila mwaka ikizishinda taasisi nyingine kwa mbali mno
Pamoja na sifa zote hizo lakini pia kaliba hii inakabiliwa na changamoto mbalimbali hasa
. Kushindwa kufanya migomo kila bei inapopanda
. Vituko baada ya kulewa
. Vibweka vya kila aina...
Kupitia mada hii hebu tuweke matukio yote yanayojiri kwenye uwanja wetu huo.... Tusisahau kutupiamo vyupa vyetu tukiwa viti virefu na vifupi... Zile za ofa na hata za kwenye sherehe...
Tupiamo hata zile sura zilizoharibiwa na ngumu kumeza....

CC: mrangi mzee wa OVA! YURE MUPE YURE MURUKE...!!!
Hata huku kwenye chama chetu tupo vizuri sana!
IMG_20180920_163926.jpeg
 
Back
Top Bottom