Hahahaha yupo tena mlokoleHahahha
Ebu nijibu tu niridhike
Hahhahhaha hivi si unakumbuka uliniambia unapenda vibonge
Hahahaha yupo tena mlokole
Ila mme kpataaa [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Ova
HahhahhaHahahaha yupo tena mlokole
Ila mme kpataaa [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Ova
Mbn silewi ningekuwa nalewa ningekuwa siamki mapema [emoji23] [emoji23] [emoji23]Hahhahha
Namuonea huruma mm kuwa na mume kila siku anakurudia amelewa
Acha nimpe pole tu mmMbn silewi ningekuwa nalewa ningekuwa siamki mapema [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Ashazoea life style yangu
Ova
Yani hata cjaelewa... Ile kuiona tu nkaona koo linawasha! Dah...Sijawai ata kuiona kwetu mkuu,
Hii ngoma mpya?
HahahahahahAcha nimpe pole tu mm
Hizi chupa nilishawahi ziona kipindi cha nyuma ndiyo ilikua largest size ya konyagi mls 750 .. Siku hizi sizioni...labda kwa vile mie sio mdau wa Konyangi
HahahahaahHahahahahah
Umenikumbusha kitu nlienda kwenye mishe Uganda miezi 2
Tulipokuwa tunakaaa hapo mwenye sehemu yule mama alituona siku 1 ya kwanza tu
Anasema Nyie mkitokaaa saa 1 mna rudi saa 10 alfajiri alafu saa 1 asusubuhi mnataka tena a a [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Tukajiunge ndy zetu [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Ova
Hata hpa nnapo kaa ndy hvyo hvyoHahahahaah
Mm nampa pole mkeo tu huyo mama wa kilokole wa watu atakuwa anakesha kwenye maombi mumewe abadilikeHata hpa nnapo kaa ndy hvyo hvyo
Life style mbn hatuaribu wala kumbuguzi mtu [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Ova
HahahahahahMm nampa pole mkeo tu huyo mama wa kilokole wa watu atakuwa anakesha kwenye maombi mumewe abadilike