Mada maalum ya walevi na wanywa Pombe

Mada maalum ya walevi na wanywa Pombe

Kitu ya shape hii huko kwenu ipo?

(picha kwa hisani ya mtandao)
1591873798.jpeg
 
Acha nimpe pole tu mm
Hahahahahah
Umenikumbusha kitu nlienda kwenye mishe Uganda miezi 2
Tulipokuwa tunakaaa hapo mwenye sehemu yule mama alituona siku 1 ya kwanza tu
Anasema Nyie mkitokaaa saa 1 mna rudi saa 10 alfajiri alafu saa 1 asusubuhi mnataka tena a a [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Tukajiunge ndy zetu [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Ova
 
Hahahahaah
 
Hata hpa nnapo kaa ndy hvyo hvyo
Life style mbn hatuaribu wala kumbuguzi mtu [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Ova
Mm nampa pole mkeo tu huyo mama wa kilokole wa watu atakuwa anakesha kwenye maombi mumewe abadilike
 
Back
Top Bottom