mrangi
JF-Expert Member
- Feb 19, 2014
- 88,759
- 123,368
Angeanzisha uzi we wa nasahaHizi ni story katafute jukwaa la afya sijui na nini huko upeleke huko, we kwa akili yako ushaona mtu hapa anaombaomba kwako au hajui utaratibu wa maisha yako, tusitibuane kwenye haya masuala kwanza kwenye kuzitafuta hukuweko so usinipangie kuzitumia
Ova