Angeanzisha uzi we wa nasahaHizi ni story katafute jukwaa la afya sijui na nini huko upeleke huko, we kwa akili yako ushaona mtu hapa anaombaomba kwako au hajui utaratibu wa maisha yako, tusitibuane kwenye haya masuala kwanza kwenye kuzitafuta hukuweko so usinipangie kuzitumia
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Kitambo lkn sahv nahsi pamepoaa
Nakaribia bonga bar sahv [emoji23] [emoji23] kna kikaoo kdg na wazee fulani
Ova
Ndugu wadau wa maendeleo na walipa kodi wakubwa jongeeni hapa kuna kikao cha dharuraBaadhi ya athari za Pombe....
1. Magonjwa ya damu
Walevi wanaweza kuwa na upungufu wa damu kutokana na sababu kadhaa, pia wanaweza kupata thrombositopenia kutokana na athari ya sumu ya megakariositi, au kutokana na hipespleni.
2. Mfumo wa neva
3. Kiharusi
4. Ukuaji wa ubongo Matumizi ya kiasi kikubwa cha pombe kwa kipindi cha muda unaweza kutatiza ukuaji wa ubongo wa kawaida binadamu.
Kunywa pombe mkuu, acha wida...Baadhi ya athari za Pombe....
1. Magonjwa ya damu
Walevi wanaweza kuwa na upungufu wa damu kutokana na sababu kadhaa, pia wanaweza kupata thrombositopenia kutokana na athari ya sumu ya megakariositi, au kutokana na hipespleni.
2. Mfumo wa neva
3. Kiharusi
4. Ukuaji wa ubongo Matumizi ya kiasi kikubwa cha pombe kwa kipindi cha muda unaweza kutatiza ukuaji wa ubongo wa kawaida binadamu.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] after all baada ya kufa hatuendi kudonate viungoKunywa pombe mkuu, acha wida...
Wanasema maini yanaoza, its true..
Lakini Mungu haangalii Maini,
Anaangalia Roho.
[emoji23][emoji23][emoji23]
Hahaha... Wote tu tutaimbiwa parapanda... Tuwe wapiga gongo, spiriti ov ze neshen, au wida...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] after all baada ya kufa hatuendi kudonate viungo
Unawatakia nini wanaume wa dar? Wasijeshindwa kuvuka lami![emoji1][emoji1][emoji1]Hii kitu ya wanaume wa Dar!!
Afadhari yeye ataekufa na viungo vyake vyote vikiwa vizima[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] after all baada ya kufa hatuendi kudonate viungo
[emoji848][emoji848][emoji144][emoji144][emoji144][emoji15][emoji15][emoji15]lakini roho imekufa na mwili hauna uhai tena... Ila viungo ni vizima... [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].... What a weird phenomenonAfadhari yeye ataekufa na viungo vyake vyote vikiwa vizima
Sahv ndy naingia pande zangu[emoji848][emoji848][emoji144][emoji144][emoji144][emoji15][emoji15][emoji15]lakini roho imekufa na mwili hauna uhai tena... Ila viungo ni vizima... [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].... What a weird phenomenon
Leo nacheza kwa mangi tu[emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji848][emoji848][emoji144][emoji144][emoji144][emoji15][emoji15][emoji15]lakini roho imekufa na mwili hauna uhai tena... Ila viungo ni vizima... [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].... What a weird phenomenon
Mwenyekiti nini tena mambo ya vifo[emoji848][emoji848][emoji144][emoji144][emoji144][emoji15][emoji15][emoji15]lakini roho imekufa na mwili hauna uhai tena... Ila viungo ni vizima... [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].... What a weird phenomenon
Salam katibu