Tresor Mandala
JF-Expert Member
- Aug 20, 2010
- 40,905
- 86,203
Mangi yuko vzr ,naona vitoa gesi vya kutoshaNgj nmshushe hpo mmja nijikalie zangu kwa mangi.....leo dili zimebuma[emoji23] [emoji23]
Ova
View attachment 932262
Hapa unamaliza kila kitu mkuuMangi yuko vzr ,naona vitoa gesi vya kutosha
Hapa unamaliza kila kitu mkuu
Vinywaji vyote vnapatikana kasoro Hennessy tu[emoji23] ukitaka Hennessy unagiza mwenyewe morogoro store mohans
Ova
Hata mm nyagi tu na safariHahahaha, Mimi pombe Kali ni konyagi tu
Hahahaha, asee Mimi konyagi sichanganyi na chochote kile ni kavu kavu inakwendaHata mm nyagi tu na safari
Ushawahi kuweka pilipili iliyokatwa kwenye nyagi na kunywa aise ni balaaa
Jaribu
Ova
Mm zamani nlikuwa napiga dry mwanzo mwenga kna mzee mmja mnorway mshikaji wangu sana anakja sana tz kunitembelea hyo 24/7 ni tungi akanishauri ni mix na majiHahahaha, asee Mimi konyagi sichanganyi na chochote kile ni kavu kavu inakwenda
Nishashusha Black label na mtoto mmoja makini kabisa, natafuta namba 5Leo nakula nyoronyoroView attachment 932369View attachment 932371
Atakoma wallahNishashusha Black label na mtoto mmoja makini kabisa, natafuta namba 5View attachment 932385
HahahahaAtakoma wallah
Ashakoma tayari hahahaAtakoma wallah
Unatengeneza Bomu la NyukliaKaribuni wakuu. Niko kijijini hhku nalipa Kodi na mimiView attachment 932508
Kwanini mkuu. Huku ndo vinywaji vinavyopatikanaUnatengeneza Bomu la Nyuklia
Eagle kali,Nyagi ndo balaaaaaa,hapo utasimama kweli?Kwanini mkuu. Huku ndo vinywaji vinavyopatikana
Best mzima pole karibu hiiKiu imenishika ghafla,halafu natakiwa kuongea na mukubwa mmoja hv dakika 15 mbele dah. Mtihani huu
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] mkuu hizi hazina shida tunakunywa na tunasimama vizuri kabisaEagle kali,Nyagi ndo balaaaaaa,hapo utasimama kweli?
Hakuna bomu hapo bia na nyagi unacheua safiUnatengeneza Bomu la Nyuklia