Blaki Womani
JF-Expert Member
- Feb 28, 2011
- 11,229
- 13,442
Jirani upo Dsm hii au Arusha? Hiyo kitu ya kuvuruga maini inabidi uwe na nguvu kwelikweli.
Kampani tu kubwa ya wanywaji [emoji2] [emoji2]
Ova
Hahahaha, km wavuta fegi tu ,full kupigana tafuWanywaji sio wachoyo leo huna wengine wana clear bill
Wenyewe tu nasema tunawekezaWanywaji sio wachoyo leo huna wengine wana clear bill
Wenyewe tu nasema tunawekeza
Ova
Tukikopaaa kesho tunajipeleka wenyewe ku clear bill[emoji2] [emoji2] [emoji2]Ewaaa,swadakta ,Leo kwako kesho kwangu,keshokutwa kwake
Wenyewe tu nasema tunawekeza
Ova
Tukikopaaa kesho tunajipeleka wenyewe ku clear bill[emoji2] [emoji2] [emoji2]
Ova
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] Ile ilikuwa chimbo la kina mzee meeda alafu mzee meeda alinidhulumu pikipiki yangu alikuwa ana mtandaooo mkubwa anajulkana sana kila Nkienda OllahPale mkonyiz nilikua nakunywa daily ,mpk siku nikiwa sina hela wahudumu wananinunulia ,au Mzee Mkonyiz mwenyewe anawaambia mpeni kijana Wangu bia mbili ,nitamlipia
Sasa siku nimezipata,kudadeki wanakoma bar nzima aliyekuwepo na asiyekuwepo wote round
Sema wengine wnadai kuna dada mmja anaitwa jcky alikuwa na grocery mwembe jini kama unaenda kwa John feza zamani ahh tulikuwa tunamungisha balaaaaHahahaha, kuweka mazingira sawa
Unamjuaa moni--- lupembe[emoji2] [emoji2]Hahahaha, kuweka mazingira sawa
Hahahaha, km wavuta fegi tu ,full kupigana tafu
Pale mkonyiz nilikua nakunywa daily ,mpk siku nikiwa sina hela wahudumu wananinunulia ,au Mzee Mkonyiz mwenyewe anawaambia mpeni kijana Wangu bia mbili ,nitamlipia
Sasa siku nimezipata,kudadeki wanakoma bar nzima aliyekuwepo na asiyekuwepo wote round
Unapiga msosi vizuri halafu unaweka hiyo
Mona tena ,nisimjue Mimi Mkuu ,member mwenzangu huyoUnamjuaa moni--- lupembe[emoji2] [emoji2]
Ova
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]Mona tena ,nisimjue Mimi Mkuu ,member mwenzangu huyo
Patricia shan--- naskiaaa amevutaMona tena ,nisimjue Mimi Mkuu ,member mwenzangu huyo
Wazee wote kule wananijua Mzee Meda nilishamzumgumzia humu na mwenyekiti Mshana Jr na mm alikua ananiita [ my son ][emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] Ile ilikuwa chimbo la kina mzee meeda alafu mzee meeda alinidhulumu pikipiki yangu alikuwa ana mtandaooo mkubwa anajulkana sana kila Nkienda Ollah
Kuna siku tukaenda kwake njilipeee nkaambuliaa manyonyaa nliondoka na tank la Lita 5000[emoji2] [emoji2] [emoji2]
Baada ya Muda sana akaniambiaa kuna deal anasubiriaa atapiga hela ndefu atantoaa kibingwa aakaja vuta
Naskia a eneo la majembe mwenge lake
Ni kweli
Ova
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]Wazee wote kule wananijua Mzee Meda nilishamzumgumzia humu na mwenyekiti Mshana Jr na mm alikua ananiita [ my son ]
Kula sijui nikuambiaje ,iwe mikocheni A au B ,kote kwangu