Tresor Mandala
JF-Expert Member
- Aug 20, 2010
- 40,905
- 86,203
Hahahaha, Dada Patricia [ R.I.P.] tulikua tunakesha nae mwanzo mwisho ,tunajuana vyema
Piga sana konyagi
Asee hebu tulewe maana tukianza hapa kuna wanachungulia
Piga sana konyagi
Asee hebu tulewe maana tukianza hapa kuna wanachungulia
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
Patricia nlimzinguaga issue ndg Dah
Kna siku nkajitela nkaingia safari carnival kwao enzi hzo hkna xcape1
Kulikuwa na ngwasuma
Si akawaita walinzi wakatutoaa [emoji2] [emoji2] [emoji2]
Kinomanoma nlimamind
Kuja on ana naye tena akasema amelipiza
Dah
Ova