Mada maalum ya walevi na wanywa Pombe

Mada maalum ya walevi na wanywa Pombe

Hahahaha, Dada Patricia [ R.I.P.] tulikua tunakesha nae mwanzo mwisho ,tunajuana vyema
Piga sana konyagi

Asee hebu tulewe maana tukianza hapa kuna wanachungulia

[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
Patricia nlimzinguaga issue ndg Dah
Kna siku nkajitela nkaingia safari carnival kwao enzi hzo hkna xcape1
Kulikuwa na ngwasuma
Si akawaita walinzi wakatutoaa [emoji2] [emoji2] [emoji2]
Kinomanoma nlimamind
Kuja on ana naye tena akasema amelipiza
Dah

Ova
 
Hahahaha, Dada Patricia [ R.I.P.] tulikua tunakesha nae mwanzo mwisho ,tunajuana vyema
Piga sana konyagi

Asee hebu tulewe maana tukianza hapa kuna wanachungulia
Nilimind sana[emoji2] [emoji2] [emoji2]
Alionaaa katupataaa[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
Alifurahi sana

Ova
 
Nilimind sana[emoji2] [emoji2] [emoji2]
Alionaaa katupataaa[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
Alifurahi sana

Ova

Mkuu leo nmeonja music wA k -vant,sio kama wa konyagi,apa nimekula bapa ndogo tatu,nko hoi!
Simtii majaribuni tena.
 
Hahahaha, Dada Patricia [ R.I.P.] tulikua tunakesha nae mwanzo mwisho ,tunajuana vyema
Piga sana konyagi

Asee hebu tulewe maana tukianza hapa kuna wanachungulia
Nmebadili Gia angani mwendo wa safari sasa

Ova
20181115_210900.jpg
 
Hahahaha, Dada Patricia [ R.I.P.] tulikua tunakesha nae mwanzo mwisho ,tunajuana vyema
Piga sana konyagi

Asee hebu tulewe maana tukianza hapa kuna wanachungulia

Kaka k-vant simtii majaribuni tena,
Anachanganya fasta kwanza,
Leo ndio nmeonja joto yake!
Konyagi atasubiri sanA,
 
Hapa nipo na wadau Copacabana ya kusini wao ni wasomaji tu wa huu uzi ila sio wachangiaji, hapa tulichopanga ni kuondoka kumi na mbili kuoga then kazin
 
Back
Top Bottom