Mada maalum ya walevi na wanywa Pombe

Mada maalum ya walevi na wanywa Pombe

Pale mkonyiz nilikua nakunywa daily ,mpk siku nikiwa sina hela wahudumu wananinunulia ,au Mzee Mkonyiz mwenyewe anawaambia mpeni kijana Wangu bia mbili ,nitamlipia

Sasa siku nimezipata,kudadeki wanakoma bar nzima aliyekuwepo na asiyekuwepo wote round
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] Ile ilikuwa chimbo la kina mzee meeda alafu mzee meeda alinidhulumu pikipiki yangu alikuwa ana mtandaooo mkubwa anajulkana sana kila Nkienda Ollah
Kuna siku tukaenda kwake njilipeee nkaambuliaa manyonyaa nliondoka na tank la Lita 5000[emoji2] [emoji2] [emoji2]
Baada ya Muda sana akaniambiaa kuna deal anasubiriaa atapiga hela ndefu atantoaa kibingwa aakaja vuta
Naskia a eneo la majembe mwenge lake
Ni kweli

Ova
 
Hahahaha, kuweka mazingira sawa
Sema wengine wnadai kuna dada mmja anaitwa jcky alikuwa na grocery mwembe jini kama unaenda kwa John feza zamani ahh tulikuwa tunamungisha balaaaa
Kuna sku akawa anadai 20000
Kanikuta sehemu ofisi moja si akaanza kupayukaaa vp ile 20000 yangu mbele ya kadamnasi
Ahh tulimkimbiaaaa

Ova
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Pale mkonyiz nilikua nakunywa daily ,mpk siku nikiwa sina hela wahudumu wananinunulia ,au Mzee Mkonyiz mwenyewe anawaambia mpeni kijana Wangu bia mbili ,nitamlipia

Sasa siku nimezipata,kudadeki wanakoma bar nzima aliyekuwepo na asiyekuwepo wote round
 
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] Ile ilikuwa chimbo la kina mzee meeda alafu mzee meeda alinidhulumu pikipiki yangu alikuwa ana mtandaooo mkubwa anajulkana sana kila Nkienda Ollah
Kuna siku tukaenda kwake njilipeee nkaambuliaa manyonyaa nliondoka na tank la Lita 5000[emoji2] [emoji2] [emoji2]
Baada ya Muda sana akaniambiaa kuna deal anasubiriaa atapiga hela ndefu atantoaa kibingwa aakaja vuta
Naskia a eneo la majembe mwenge lake
Ni kweli

Ova
Wazee wote kule wananijua Mzee Meda nilishamzumgumzia humu na mwenyekiti Mshana Jr na mm alikua ananiita [ my son ]

Kula sijui nikuambiaje ,iwe mikocheni A au B ,kote kwangu
 
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
Patricia nlimzinguaga issue ndg Dah
Kna siku nkajitela nkaingia safari carnival kwao enzi hzo hkna xcape1
Kulikuwa na ngwasuma
Si akawaita walinzi wakatutoaa [emoji2] [emoji2] [emoji2]
Kinomanoma nlimamind
Kuja on ana naye tena akasema amelipiza
Dah

Ova
 
Back
Top Bottom