Mada maalum ya walevi na wanywa Pombe

TAHADHARI
Jikagueni Walevi kabla hamajarudi homeView attachment 863118
Hii picha imenikumbusha miaka ya nyuma kidogo huko Kijijini nilienda Kwa kabinti pamoja (Kipindi cha likizo) kaliniingiza geto kwake,Sasa baada ya kazi kufanyika muda wa kuondoka sababu ya Giza na uoga uoga nikavaa ndala zisizo zangu.Nafika home najikuta nimevaa vindala vimechakaa.Dah nikaona msala huu.Ikabidi nisingizie Kwa mother asubuhi kuwa jana tulienda kuangalia TV Kwa Fulani Sasa tulikuwa wengi wakati wa kutoka watu wamenibadilishia ndala.Mama akanielewa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…