Blaki Womani
JF-Expert Member
- Feb 28, 2011
- 11,229
- 13,442
Asante sana leo ni leoAhsante nawe karibu pande hz View attachment 936762
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Asante sana leo ni leoAhsante nawe karibu pande hz View attachment 936762
Rafiki unanipigiaga vitu Fulani hv ,green green tu
Asante sana leo ni leo
Yuko vzri
Ova
Yuko vzri
Ova
mmelewa?
HahahahahahIle safari ya kupeana vyeti vya ulipaji kodi vipi[emoji41][emoji41]
manake nilisikia humu huruhusiwi kukoment kama hujalewaBado zungusha round
manake nilisikia humu huruhusiwi kukoment kama hujalewa
Katibu ratibu acha kuchekaHahahahahah
Ova
Ngj tufanye taratibu za ugawaji vyetiKatibu ratibu acha kucheka
yaani kukoment tu humu mpaka nimehisi nimelewaUkiwa karibu na uwaridi lazima unukie
Hivi vidudu silewagiOne down...
Another one to go...View attachment 936778
Hii picha imenikumbusha miaka ya nyuma kidogo huko Kijijini nilienda Kwa kabinti pamoja (Kipindi cha likizo) kaliniingiza geto kwake,Sasa baada ya kazi kufanyika muda wa kuondoka sababu ya Giza na uoga uoga nikavaa ndala zisizo zangu.Nafika home najikuta nimevaa vindala vimechakaa.Dah nikaona msala huu.Ikabidi nisingizie Kwa mother asubuhi kuwa jana tulienda kuangalia TV Kwa Fulani Sasa tulikuwa wengi wakati wa kutoka watu wamenibadilishia ndala.Mama akanielewaTAHADHARI
Jikagueni Walevi kabla hamajarudi homeView attachment 863118