Mada maalum ya walevi na wanywa Pombe

Mada maalum ya walevi na wanywa Pombe

Nimeanza namna hii
IMG_20181118_162140.jpeg
IMG_20181118_151024.jpeg
 
Nlikutana na kisa kimoja nlikiona ilikuwa balaaaa ilikuwa uhuru peak pale kitambo kdg kulikuwa na mzee mmja alikuwa kigogo go kwenye govemnto....kigogo hyo alikuwa anamgonga mhudumu mmja ple Dah siku ya siku wife alibuka day moja watu tupo pale tunavesha tukaskia njugu mhudumu ikamkosa mhudumu sisi wote tulitoka ndukiii
Ila kigogo hyo kastaafu siku hzi kijiwe chake kilikuwa bonga bar (Jina lke passwrd[emoji23] [emoji23] [emoji23] )

Ova
Hahahahaha umenichekesha sana
 
Hata mie nazipenda hizo. Unakunywa kwenye ka grocery viti vya benchi inashuka mbaya
Wana vijiwe vyao vya kimya kimya tukiwagumia ahh mwendo mdundo
Unafikiri Hawa madon wanakaa bar zenye majina wao ni zile za kawaida tu
Ukiwa na mipango sku hyo unataka hela ya kuforce unawatimbia unawaimbisha tu unakaa Sawa

Ova
 
Leo Amunike kanikera nafsi inalalamika tu hapa Bora nikalale tu maana nikiendelea naona stress tu
 
Leo Amunike kanikera nafsi inalalamika tu hapa Bora nikalale tu maana nikiendelea naona stress tu
Usishangilie hyo timu hapa kwa mangi tulikuwa tunakunywa na kucheki muvi la kutisha tu mpira presha tu

Ova
 
Back
Top Bottom