Mada maalum ya walevi na wanywa Pombe

Mada maalum ya walevi na wanywa Pombe

Wadau kumekucha salama mi ndio nazimua nitazisanye tena
15426044989291347247307.jpg
 
Navumilia katibu siunaona hata vidole vinakosa ushirikiano kutaip?.
Ila bado kama saa 1na nusu tu.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Tushakata bombadier 2 namalizia kasichanaa sasa tuvute muda wa badaye

Ova
 
Back
Top Bottom