Hahahahaha umenichekesha sanaNlikutana na kisa kimoja nlikiona ilikuwa balaaaa ilikuwa uhuru peak pale kitambo kdg kulikuwa na mzee mmja alikuwa kigogo go kwenye govemnto....kigogo hyo alikuwa anamgonga mhudumu mmja ple Dah siku ya siku wife alibuka day moja watu tupo pale tunavesha tukaskia njugu mhudumu ikamkosa mhudumu sisi wote tulitoka ndukiii
Ila kigogo hyo kastaafu siku hzi kijiwe chake kilikuwa bonga bar (Jina lke passwrd[emoji23] [emoji23] [emoji23] )
Ova
Kwenye Sita Kwa SitaFafanua tupate maujuzi[emoji23][emoji23]
Wana vijiwe vyao vya kimya kimya tukiwagumia ahh mwendo mdundo
Unafikiri Hawa madon wanakaa bar zenye majina wao ni zile za kawaida tu
Ukiwa na mipango sku hyo unataka hela ya kuforce unawatimbia unawaimbisha tu unakaa Sawa
Ova
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kwenye Sita Kwa Sita
Kwa mangi budget kdg inapungua alafu no kuchomekeana kma barHata mie nazipenda hizo. Unakunywa kwenye ka grocery viti vya benchi inashuka mbaya
Nawamiss wote... Kilinge kimebana... Nina kiu hatari na tunguli hazipatani na ugimbi[emoji15][emoji15][emoji15][emoji24][emoji24][emoji24]
But sometimes inanitesa... [emoji24]
Mwenyekiti karibu nimehamia kauntaNawamiss wote... Kilinge kimebana... Nina kiu hatari na tunguli hazipatani na ugimbi[emoji15][emoji15][emoji15][emoji24][emoji24][emoji24]
Aisee leo utafikiri jumamosi naserebuka tu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kwa mangi budget kdg inapungua alafu no kuchomekeana kma bar
Bar lzma mtazinguana kwenye bill tu
Ova
Usishangilie hyo timu hapa kwa mangi tulikuwa tunakunywa na kucheki muvi la kutisha tu mpira presha tuLeo Amunike kanikera nafsi inalalamika tu hapa Bora nikalale tu maana nikiendelea naona stress tu
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Aisee leo utafikiri jumamosi naserebuka tu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
πππhHaha hakun sehem mbov ya kujiachia km chuo aisee khaa watu wanaingia pindi na chupa za maji wameweka nyagi..dah