Dah...!Mwenyekiti karibu nimehamia kaunta View attachment 938789
[emoji23][emoji23]ni pombe na nyamaView attachment 938778
Maada maalum ya walevi na vyakula.
Tisa kasoro usiku hiyo
Ova
Dah...!
Mbn umechekaaa mwekahazina[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Katibu we nibalaa hakika. Ni mwendo wa am to am?.Tisa kasoro usiku hiyo
Ova
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Katibu we nibalaa hakika. Ni mwendo wa am to am?.
Na Chkuaaa take away nkajilipue ndaniWadau kumekucha salama mi ndio nazimua nitazisanye tenaView attachment 938959
Mi bado nakimbizana na shekeli mpaka jioni.
Vumilia kdg tu mkuuMi bado nakimbizana na shekeli mpaka jioni.
Ila ukweli kiu imezidi.na sins.namna ya kuchomoka.
Navumilia katibu siunaona hata vidole vinakosa ushirikiano kutaip?.Vumilia kdg tu mkuu
Ova
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Navumilia katibu siunaona hata vidole vinakosa ushirikiano kutaip?.
Ila bado kama saa 1na nusu tu.
Poa poa kila kitu kiende sawa tu.[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Tushakata bombadier 2 namalizia kasichanaa sasa tuvute muda wa badaye
Ova
Gambe popote mkuu [emoji23] [emoji23] [emoji23]Poa poa kila kitu kiende sawa tu.
Isipokua unanitamanisha?.
Nakuona katibu. Gambe popote
Toroka uje [emoji23][emoji23][emoji23]Poa poa kila kitu kiende sawa tu.
Isipokua unanitamanisha?.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Nakuona katibu. Gambe popote View attachment 939379
Mweka hazina hutaki kuniona tena kwenye huu Uzi?. Nitoroke wateja wakimbie na mkwanja?.Toroka uje [emoji23][emoji23][emoji23]