Tresor Mandala
JF-Expert Member
- Aug 20, 2010
- 40,905
- 86,203
Hahaha, sasa soma nyuma alivyoandika copywriter khs konyagiSpirit of National
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahaha, sasa soma nyuma alivyoandika copywriter khs konyagiSpirit of National
Kuna Mkenya mmoja akienda likizo huko kwao lazima ambebee baba yake Nyagi.Anasema Mzee wake anaipenda hiyo spirit of NationSpirit of National
AhaaaaWanasemaga ina harufu,sio lite lkn ile Serengeti lager
Wanywaji bwanaHahaha, nyagi tamu,kinywaji bora halisi na laini toka mbozi road chang'ombe [emoji1] [emoji1] [emoji1]
Tamu mnoWanywaji bwana
Hivi pombe inakuwaga tamuu jamani
Wakati chungu kama ngorokwini [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Ndio utamu wenyewe huo[emoji39][emoji23]
Humo hamna bia zote hizo ni juice tu zenye kilevi kidogo.Afe kipa afe beki mzigo lazima ukateeView attachment 865966
[emoji87][emoji87][emoji87][emoji144][emoji144][emoji144]🤔🤔🤔Jamaa kalewa pombe zimekimbilia nyuma[emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 865965
Kwa Mahesabu ya haraka nimepata laki.... Hapo serikali imeingiza 18,000, bar maid naye kapata, kama na nyamachoma basi muuza nyama naye kapata, manyau nayo yamepata... Nzi na sisimizi pia, vp kuhusu mlinzi!?Afe kipa afe beki mzigo lazima ukateeView attachment 865966