Mada maalum ya walevi na wanywa Pombe

Mada maalum ya walevi na wanywa Pombe

Sana nilimwambia meneja wao mmoja hii kitu,hamtouza ,eti ukwaju na passion ,mpk zinaondolewa sokoni sijaonja
Pengine walishauriwa na #team stroke wale wapenda soda[emoji23][emoji23][emoji23] ubahili gani huu.... Yani kabisa unaenda bar kisha unaagiza soda, halafu unakaa kwenye kiti kisha unataka uletewe na tissue na bilauri[emoji34][emoji35][emoji34][emoji35]
 
Usisumbufu kwa wahudumu
 
Chanika nssf
20180914_162547.jpg
 
Back
Top Bottom