Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 301,577
- 754,412
- Thread starter
- #861
Pengine walishauriwa na #team stroke wale wapenda soda[emoji23][emoji23][emoji23] ubahili gani huu.... Yani kabisa unaenda bar kisha unaagiza soda, halafu unakaa kwenye kiti kisha unataka uletewe na tissue na bilauri[emoji34][emoji35][emoji34][emoji35]Sana nilimwambia meneja wao mmoja hii kitu,hamtouza ,eti ukwaju na passion ,mpk zinaondolewa sokoni sijaonja