Mada maalum ya walevi na wanywa Pombe

Nimeiona inapigwa promo mkuu na kesho naanza nayo wakati wa game ya Liver na tott nahisi ntalingana na kina salah kisoka
Niliisikia promo, vitamu Sana Vina sukari ajabu..husikii ile ladha ya bia...labda sababu nimezoe mikasto na Safari.

Toka saa nane navipiga ila havishiki kichwa..nguchu(sip) tatu tu kinaisha.
 
Ila hakuna walevi majasiri kama wanaokunywa Manzese, Tandika, Temeke Mikoroshini na Tandale.

Kuna siku nilifanya adventure Tandika ila zile sura kadri muda ulivyoenda nikasema hapa kazi ipo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…