Mada maalum ya walevi na wanywa Pombe

Mada maalum ya walevi na wanywa Pombe

Nimeiona inapigwa promo mkuu na kesho naanza nayo wakati wa game ya Liver na tott nahisi ntalingana na kina salah kisoka
Niliisikia promo, vitamu Sana Vina sukari ajabu..husikii ile ladha ya bia...labda sababu nimezoe mikasto na Safari.

Toka saa nane navipiga ila havishiki kichwa..nguchu(sip) tatu tu kinaisha.
 
Ngoja nicheki news kdg,kisha tuendelee ,brother kanigongea kitu km cha kwrnye avatar
IMG-20180914-WA0001.jpg
IMG-20180914-WA0000.jpg
 
Ila hakuna walevi majasiri kama wanaokunywa Manzese, Tandika, Temeke Mikoroshini na Tandale.

Kuna siku nilifanya adventure Tandika ila zile sura kadri muda ulivyoenda nikasema hapa kazi ipo
 
Back
Top Bottom