Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Niliisikia promo, vitamu Sana Vina sukari ajabu..husikii ile ladha ya bia...labda sababu nimezoe mikasto na Safari.Nimeiona inapigwa promo mkuu na kesho naanza nayo wakati wa game ya Liver na tott nahisi ntalingana na kina salah kisoka
O. k, nitawasiliana nao vipi ?Latest mbona? Check na admin
KabisaKitanda ndy mwokozi wa mpiga tungi unapishana na balaa mengi [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Ova
Ajabu nikwamba wanapokea vizuri sana.Hii ya kupigiaga simu ma x ukiwatungi ni noma sana
Hy yenye maandishi ya kichina inaitwaje? Halafu yule mwenye glass anategea
Umenikumbusha baa moja, wakati muziki unaendelea Meneja anachukua maiki na mbwembwe nyiingi halafu anasema wahudumu ongezeni kasiTuongeze speed, kula round inakuja
[emoji1] [emoji1] [emoji1] ,anajua biashara na atakua mchaga tuUmenikumbusha baa moja, wakati muziki unaendelea Meneja anachukua maiki na mbwembwe nyiingi halafu anasema wahudumu ongezeni kasi
Congo hiyo baba?My best bia nikiwa pande hzView attachment 866395
HahahaCongo hiyo baba?
Mie nimegonga safari ndogo , Windhoek,sasa Heineken kichwa naona kimeanza kupata motoWadau mkiona muda herufi zinapandiana mjue sio Mimi bali ni Safari Lager tangu 1977
Siku hizi nimebadilika niko busy hata jf siingiii nalewa kimya kimyaaa napambana na maishaa uwe unanipigia sm kama umeniita hukuuuNamsubiria kwa hamu mlevi Demiss hapa![emoji41][emoji41][emoji41]
Bro nimekuomba unielekeze jinsi ya kuwasiliana na admins, niwaeleze tatizo la ku upload picha JF kwenye simu yangu naona umenisahau
HahahaahAjabu nikwamba wanapokea vizuri sana.
Kuna mmoja alishawahi kunisamehe usiku. Angejua ni pombe ndiyo ilikuwa inazungumza na kwamba sikuwa na mpango wa kumrudia angenirarua