Tresor Mandala
JF-Expert Member
- Aug 20, 2010
- 40,905
- 86,203
22 : 37,bado sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Duu lenyewe OG kabisa[emoji39][emoji39][emoji39][emoji2] View attachment 866471
Dah.. [emoji115]the kick bhana huku kwetu haipo katika bia ninayo kunywa ni hiyo au castle milk black mamba ila sana vitu vikali jamaican ram alafu nadhani kuna mdau wa diamond dry gin ile 200ml kama umeweka safari ishirini kichwani. big up to mohammed ibin razi mkemia mkuu wa enzi hizo
Halafu akaenda mbingunijack dizzoView attachment 866509
Balaaa la Jana ilo,Naona walipa kodi bado wamelala..! Heshima kubwa sana kwenu... Bila nyie kibubu cha kaya hakituniki
[emoji23][emoji23][emoji23]Balaaa la Jana ilo,
Hapa kichwa kinagonga nataka nikatoe lock na km mbili za chap then nilale tenaView attachment 866583
Kila nikiupitia huu uzi napatwa na kiu hatari! Anyway, nataka nijaribu kitu cha upande wa pili kinachotokana na korosho(Uraka) nione huu mvinyo wa asili ulivyo.
Nipo Dar, huwa unasafirishwa unaletwa huku vizuuuri kabisa, na hapo Mbagala kuna sehemu unapatikanaMkuu upo Lindi au Mtwara maana huko uraka ndio unapatikanika sana
Napata tabu sana kunywa BALIMI katika mkoa wa DAR,,watu wananiona kama nimefulia,,kama kibaka,wanaficha simu zao,,,mbona kanda ya ziwa ,,ndio bia yenye heshima,,,Rock City utakuta safari zimeisha lakini sio BALIMI,,,,weka mikono juu na banjuka juu ,banjuka juu na balimi.
Nasikia siku hizi hii kubwa zaidi inaitwa "drimlaina"[emoji2] View attachment 866471
Karibu tena ulingoniNilipumzika miaka miwili sasa nimeziaza kwa kasi 🙄