Mada maalum ya walevi na wanywa Pombe

Mada maalum ya walevi na wanywa Pombe

Kwa heshima kubwa... Hii kaliba itambuliwe rasmi kama mdau mkubwa wa maendeleo hasa kwenye eneo la ulipaji kodi.. Ndio mshindi wa kwanza kila mwaka ikizishinda taasisi nyingine kwa mbali mno
Pamoja na sifa zote hizo lakini pia kaliba hii inakabiliwa na changamoto mbalimbali hasa
. Kushindwa kufanya migomo kila bei inapopanda
. Vituko baada ya kulewa
. Vibweka vya kila aina...
Kupitia mada hii hebu tuweke matukio yote yanayojiri kwenye uwanja wetu huo.... Tusisahau kutupiamo vyupa vyetu tukiwa viti virefu na vifupi... Zile za ofa na hata za kwenye sherehe...
Tupiamo hata zile sura zilizoharibiwa na ngumu kumeza....

CC: mrangi mzee wa OVA! YURE MUPE YURE MURUKE...!!!
Mrangi (ddo) Daily drinker officer?
 
HUWEZI KUWA MLEVI UKAWA MWANAUME KAMILI.

UWANAUME KAMILI NI PAMOJA NA KUJIZUIA NA MAMBO YENYE KUDHURU AFYA YA AKILI,AFYA YA MOYO,AFYA YA MWILI KWA UJUMLA NA MFANO WAKE.

NAYASEMA HAYA KWA SABABU HAPA NI SEHEMU MUAFAKA. NA KUNA JAMBO NIMEKUMBUKA.

WALE NAJUA HILI MNALIKUBALI JAPO SI KWA DHAHIRIA ILA KWA MOYO AU KWA SIRI LIMETAWALA SANA.

NASEMA HIVI,KUNA JAMBO NIMEKUMBUKA.
 
.
IMG-20180914-WA0121.jpg
 
Back
Top Bottom