Mada maalum ya walevi na wanywa Pombe

Walevi/wanywaji hatunaga time na madem sisi ni tungi tu

Ova
Mkuu usiongope nikiingia bar naona walevi mnawapapasa wanawake hakuna MTU mzima anaweza tamani kulala na barmaid kama hajalewa
 
Katika kitu huwa nafeli ni kwenda bar,nikakumbuka demu ,naweza kumbuka msela lkn sio demu
 
Mkuu usiongope nikiingia bar naona walevi mnawapapasa wanawake hakuna MTU mzima anaweza tamani kulala na barmaid kama hajalewa
Syo wote wengine sisi tunataka kulewa tu
Walevi wanaishia kupa Pasa tu finishing
Mbovu [emoji23] [emoji23]

Ova
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…