Unaonekana tipwa tipwa sana wewe !Hiiiiiiiii gudumorning
Wikend njema tunazimua za Jana tukasake mahelaaa.....
.View attachment 866859
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unaonekana tipwa tipwa sana wewe !Hiiiiiiiii gudumorning
Wikend njema tunazimua za Jana tukasake mahelaaa.....
.View attachment 866859
Asee kumbe nawe unafikaga Juba?Kitu ya mvimba macho hiyo... Karibu sana japo November naweza kuwa Southern Sudan
Uko vzr ,umenikoshaHiiiiiiiii gudumorning
Wikend njema tunazimua za Jana tukasake mahelaaa.....
.View attachment 866859
Mdada halafu unakata balimi!Hiiiiiiiii gudumorning
Wikend njema tunazimua za Jana tukasake mahelaaa.....
.View attachment 866859
Nimemuelewa sana huyu mdada Beef LasagnaMdada halafu unakata balimi!
Uko vizuri
Tena tarumbeta hihiiiiiiiii 😉😉Mdada halafu unakata balimi!
Uko vizuri
Kwa nini [emoji13] [emoji13] [emoji13]Dah huna bahati
We unafaa ktk vikao vyangu ,ingawa sio mdau Sana wakukaa vikao na wadada ila wewe unashawishi[emoji1] [emoji1] [emoji1]Tena tarumbeta hihiiiiiiiii 😉😉
Serikali haina dini na hawezi kuokoka hata raisi akiwa mlokolehaha sipati picha siku akiwa Rais mlokole! bia hazitatengenezwa tutakosa kodi na tutalimia meno
Aisee upo right kabisa..nikiendaga arusha mitaa ya picnic hiyo ndo cocktail yanguHii kitu uki mix na nyagi balaa
Ova
Wanywaji bwana
Hivi pombe inakuwaga tamuu jamani
Wakati chungu kama ngorokwini [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Si mpaka uwe rais mkuu ? Anyway kazi ya urais ilivyo ngumu Unaweza jikuta kila siku usiku wanakuvua nguo na Viatu ulivyolala navyo, na ukajikuta unajua majina ya tungi zote na unazisifiaSiku nikiwa Rais napiga marufuku ulevi
Dereva makini huwa anatamani aendeshe kila aina ya gariMkuu usiongope nikiingia bar naona walevi mnawapapasa wanawake hakuna MTU mzima anaweza tamani kulala na barmaid kama hajalewa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji87]Walipa kodi watiifu washadamka huku[emoji23] View attachment 866899
Braza shikamoo[emoji3][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji87]
Walevi na umalaya ni maji na samaki