Hahahhaaaaaa Kwa kweli me nahistoria kubwa kwenye huu fani mpaka nilipoamua kuacha ndani ya miaka miwili watu hawakuamini.......Naomba asifuate nyayo za mama yake tafadhali...
Nitajitahidi kidogo kidogo....Ila ndio ukweli huo best....
Kwa muda wote wa labour ungepumzika pombe darlin...
Naomba upumzike tu best....Nitajitahidi kidogo kidogo....
Hahaha ,niliwahi kuwa ktk timu ya kuandaa mradi wa 'chonde chonde ulevi noma' sasa kuna kikundi Mtongani temeke chenyewe ni waathirika wa ulevi asee ukisikia vimbwanga vyao mmmh utacheka mpk basisiku niliyo kopa nikalipe kodi nikajikuta na kiu nikaenda kuimaliza samaki samaki siku moja mlimani city
Hivi hizi nazo mnaita bia?
Hahaha na wewe lini utaenda kambini kwenu Mindu street? Hivi ni Madaraka anayeenda au nani? Ulabu huko hauendi.Ataenda mbinguni [emoji23][emoji23][emoji23]
Mshana Jr alaaniwe.Hii mada yako inanisababishia matatizo nilikua sina mpango wa kunywa mida hii sasa nilikua nasafari kwenda kusalimia jamaa zangu matokeo yake miguu haitaki kuelekea mbele nilipokusudia, yenyewe inapindia kulia tu nimeangalia inapotaka kuelekea naona kuna nyumba ina utambulisho wa bar na nyama choma [emoji849][emoji849]
ina alcohol ngap hiyo sumu ya nyoka???hiyo kitu, kama hujala una rest in peace
ina 67.5 chupa mojaina alcohol ngap hiyo sumu ya nyoka???
Mie jana nilikua mjini singida kwenye club Serengeti, aisee pale ni kiboko papuchi nje nje kama gulio vile [emoji851][emoji851]. leo naendelea na safari nicheki viwanja vingine ndani ya Mwanza.Nimevamia kwa nguvu jiji la Mwanza, kuna kijiwe kinaitwa Bundesliga ndiyo nipo nachangia Kodi, baadae mkiona nimepost utumbo mnisamehe nitakuwa sio Mimi.
Karibu mkuu tujenge nchi mm nipo mpaka j5 ijayo,itabidi wakati wa kurudi nipite hapo Singida kufanya utalii wa ndaniMie jana nilikua mjini singida kwenye club Serengeti, aisee pale ni kiboko papuchi nje nje kama gulio vile [emoji851][emoji851]. leo naendelea na safari nicheki viwanja vingine ndani ya Mwanza.
Hahaha, asiyejua maana haambiwi maana mkuun
imechekaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
Anaelewa mkuuSasa mkuu kwa huko kwenye show ya bella unampelekea Mzigua90:. Hiyo spray afanyie nini?
Nimekutana na Mshana tumeachana sasa hivi anasema msimuache hukoAnaelewa mkuu