Mada maalum ya walevi na wanywa Pombe

Mada maalum ya walevi na wanywa Pombe

siku niliyo kopa nikalipe kodi nikajikuta na kiu nikaenda kuimaliza samaki samaki siku moja mlimani city
Hahaha ,niliwahi kuwa ktk timu ya kuandaa mradi wa 'chonde chonde ulevi noma' sasa kuna kikundi Mtongani temeke chenyewe ni waathirika wa ulevi asee ukisikia vimbwanga vyao mmmh utacheka mpk basi
 
Hii mada yako inanisababishia matatizo nilikua sina mpango wa kunywa mida hii sasa nilikua nasafari kwenda kusalimia jamaa zangu matokeo yake miguu haitaki kuelekea mbele nilipokusudia, yenyewe inapindia kulia tu nimeangalia inapotaka kuelekea naona kuna nyumba ina utambulisho wa bar na nyama choma [emoji849][emoji849]
Mshana Jr alaaniwe.
Hata mimi sikuwa na nia ya kutoka mara naona mguu wa kushoto unaufuata wa kulia
 
Nimevamia kwa nguvu jiji la Mwanza, kuna kijiwe kinaitwa Bundesliga ndiyo nipo nachangia Kodi, baadae mkiona nimepost utumbo mnisamehe nitakuwa sio Mimi.
Mie jana nilikua mjini singida kwenye club Serengeti, aisee pale ni kiboko papuchi nje nje kama gulio vile [emoji851][emoji851]. leo naendelea na safari nicheki viwanja vingine ndani ya Mwanza.
 
Hawaii mojaaaa

Ova
[emoji23] [emoji23] [emoji23]

Ova
20180915_142151.jpg
 
Mie jana nilikua mjini singida kwenye club Serengeti, aisee pale ni kiboko papuchi nje nje kama gulio vile [emoji851][emoji851]. leo naendelea na safari nicheki viwanja vingine ndani ya Mwanza.
Karibu mkuu tujenge nchi mm nipo mpaka j5 ijayo,itabidi wakati wa kurudi nipite hapo Singida kufanya utalii wa ndani
 
Back
Top Bottom