Swahib Sinjo
JF-Expert Member
- Nov 19, 2012
- 317
- 296
😱😱😱😱😱!!!! inapatikana wapi hiyo maana ina hatari!!!ina 67.5 chupa moja
Pale ni noma, ukifika singida pitia hapo halafu utaleta mrejesho hapa...!! nilibeba demu begani baada ya kuzima.. [emoji23][emoji23][emoji23]Karibu mkuu tujenge nchi mm nipo mpaka j5 ijayo,itabidi wakati wa kurudi nipite hapo Singida kufanya utalii wa ndani
Hawaii kimara baruti mojaNimekutana na Mshana tumeachana sasa hivi anasema msimuache huko
Mrangi Mshana Jr. Anasema usimalize anakuja nilikuwa mda si mrefu.
Ipangwe fastaaa, itakua balaa DDO's wakikutanaHalafu ikiwezekana DDOs wa humu tukutane siku Moja Moja
Anasema mbakishie msimalize
Anza na Ze bingwaHivi balimi ni bia nzuri... Nataka kuanza kulewa rasmi hivi punde.
Tuko pamojaNimekutana na Mshana tumeachana sasa hivi anasema msimuache huko
Hizi picha mnazipiga na ku upload vipi ? mbona mimi zinagoma ?
Nilikuwa Toroka uje hapa block 41 kupata kidogo lishe , hapa natafuta chimbo
Mwambie nko Hawaii kimara barutiMrangi Mshana Jr. Anasema usimalize anakuja nilikuwa mda si mrefu.
Wana chakula mwake sana hapoNilikuwa Toroka uje hapa block 41 kupata kidogo lishe , hapa natafuta chimbo
Kuna wakati inazingua sanaHizi picha mnazipiga na ku upload vipi ? mbona mimi zinagoma ?
Mwambie nko Hawaii kimara baruti [emoji23] [emoji23] [emoji23]Anasema mbakishie msimalize
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji115]njoo Kibara pub njia ya songasHii mada yako inanisababishia matatizo nilikua sina mpango wa kunywa mida hii sasa nilikua nasafari kwenda kusalimia jamaa zangu matokeo yake miguu haitaki kuelekea mbele nilipokusudia, yenyewe inapindia kulia tu nimeangalia inapotaka kuelekea naona kuna nyumba ina utambulisho wa bar na nyama choma [emoji849][emoji849]