Mada maalum ya walevi na wanywa Pombe

Jumapili hyo network ina search bado sijui itangukia wapi!
Ila tungi la jna sijui tulipoteana vp na washkaji
Maana kwenye pombe watu hatuagani![emoji23][emoji23][emoji23]

Ova
 
Bila mchanyamno najiibia maana kichwa kikavu mno
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Hakisikii kabisa, nlikua nayo hiyo bila mixer ntamaliza cret, sasa siku moja nlikua babati s nkakutana na eagle! Nkawa napiga mixer eagle, k vant nkaja kumix na nyagi. Weeee siji isahau hile siku asubuhi niliokoka kabisa [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Jumapili hyo network ina search bado sijui itangukia wapi!
Ila tungi la jna sijui tulipoteana vp na washkaji
Maana kwenye pombe watu hatuagani![emoji23][emoji23][emoji23]

Ova
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Asubuhi ukipata supu ya mbuzi na Mapande hapa kwa morombo
Baada ya nusu saa ukashushia na virikuu vya safari viwili
J pili inapendeza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…