nimechekaaaYani Mimi siwezi kunywa soda mbili zina nishinda ila gambe nakunywa ata chupa 20
Njoo id yako ya zamanBoss anuniwi,mpatie na yule minyama uzembe!
Oya mbona Kuna thread hazihusu pombe, ungeenda kule utaenjoy mbonaTambua yafuatayo kutokana na pombe.
Migogoro ndani familia (ndoa)
Magonjwa km Ukim...
Ajali zinazoepukika.
Kuua na kupoteza future yako wewe pamoja na watoto wako.
Stay alert guys!
Hahahaha kwenye nyuki mambo ya Pepsi mirinda aende hko labda [emoji23] [emoji23] [emoji23]Oya mbona Kuna thread hazihusu pombe, ungeenda kule utaenjoy mbona
Oya mbona Kuna thread hazihusu pombe, ungeenda kule utaenjoy mbona
Huku tutakuboa mkuu maana risala zako zinatakiwa zianze kwa Wizara ya fedha , viwanda vya bia mpaka wakulima wa shayiri, ngano.Sawa, Mkuu.
Huku tutakuboa mkuu maana risala zako zinatakiwa zianze kwa Wizara ya fedha , viwanda vya bia mpaka wakulima wa shayiri, ngano.
.Kunywa pombe kwa malengo na mipango
Kwenye pombe ndy tunapeana kazi na dili
Kwenye matumizi lazima uwe na limit ya matumizi
Mfano kampani zangu tukikutana kama mtu 4 au 5 kila mmoja anazungusha round 2
Kwenye kundi,Tukitoka hapo ni mukidee
Ova
No mkuu unakiribishwaSawa, Mkuu.
Uzi murua kabisaa..kwa waamsha popo..Huu uzi naukubali sana
Hapana mkuu , unajua huku tunafurahia sasa tukianza kupeana marisala .Itakiuka dhima ya uziNaona hutaki kabisa upinzani Mkuu.