[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji849][emoji849][emoji849][emoji57][emoji57][emoji57][emoji57][emoji848][emoji848][emoji36][emoji36][emoji36][emoji36]
Kweli kabisa hku sisi walevi sjui wanywaji watuacheeeee risalaaaa noooooHapana mkuu , unajua huku tunafurahia sasa tukianza kupeana marisala .Itakiuka dhima ya uzi
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Juzi jumamosi kunasehemu nilienda nikaa meza moja na mmama mmoja hivi, kwanza alianza kunywa castle lager kama 5 zikaisha akaagiza konyagi ndogo 1 akaimaliza akaamia kwenye safari kapiga 4[emoji4]akaona ukuda huu akaagiza konyagi saizi ya kati [emoji2] nikaona hapa nitaaibika yaani mimi nakunywa serengeti lite na tayari zimeanza kunichukua nikatoka nduku[emoji125][emoji125][emoji125] balaa.Ila yule mama ni jembe walaah [emoji23][emoji23]
Hii pua ya ukweli au nimelewa.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Juzi jumamosi kunasehemu nilienda nikaa meza moja na mmama mmoja hivi, kwanza alianza kunywa castle lager kama 5 zikaisha akaagiza konyagi ndogo 1 akaimaliza akaamia kwenye safari kapiga 4[emoji4]akaona ukuda huu akaagiza konyagi saizi ya kati [emoji2] nikaona hapa nitaaibika yaani mimi nakunywa serengeti lite na tayari zimeanza kunichukua nikatoka nduku[emoji125][emoji125][emoji125] balaa.Ila yule mama ni jembe walaah [emoji23][emoji23]
We kama mwenyekiti sisi wanachana wakoTiwafungulie mashtaka[emoji34][emoji35][emoji84][emoji83][emoji49][emoji88]
Nyagi geji inashukaaaa tu [emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hao hawajitambui.. Nimeanza kunywa mwaka 1985 wakati plisner laga ilikuwa inauzwa Tsh 30,sijawahi kupitia yote hayo...Tambua yafuatayo kutokana na pombe.
Migogoro ndani familia (ndoa)
Magonjwa km Ukim...
Ajali zinazoepukika.
Kuua na kupoteza future yako wewe pamoja na watoto wako.
Stay alert guys!
Yani Raha sana Story zinaenda kinoma.Kunywa pombe kwa malengo na mipango
Kwenye pombe ndy tunapeana kazi na dili
Kwenye matumizi lazima uwe na limit ya matumizi
Mfano kampani zangu tukikutana kama mtu 4 au 5 kila mmoja anazungusha round 2
Kwenye kundi,Tukitoka hapo ni mukidee
Ova
Hahahahah.Juzi jumamosi kunasehemu nilienda nikaa meza moja na mmama mmoja hivi, kwanza alianza kunywa castle lager kama 5 zikaisha akaagiza konyagi ndogo 1 akaimaliza akaamia kwenye safari kapiga 4[emoji4]akaona ukuda huu akaagiza konyagi saizi ya kati [emoji2] nikaona hapa nitaaibika yaani mimi nakunywa serengeti lite na tayari zimeanza kunichukua nikatoka nduku[emoji125][emoji125][emoji125] balaa.Ila yule mama ni jembe walaah [emoji23][emoji23]
Shemelaaa kuhoji hakuna ubayaMwanaume acha umbeyaa loooh .fyuuu
[emoji125] [emoji125] [emoji125]
Jiwe alisema wana washwashwa.ππππππ. NikitelezaOya mbona Kuna thread hazihusu pombe, ungeenda kule utaenjoy mbona