Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hii ina maanisha sio baba wa familia ni ka-teenager flani hivi ha ha ha!Mababa wa familia lazima uhakikishe unaimalizia pale pale kauntaWengine tupo road msimwambie ninja kangi.
Huwa ni watu mnaosababisha kelele nyingi bar na wabahili sana !Muumini mwaminifu wa jibapa [emoji23][emoji23][emoji23]
Ila mnapoumwa gharama za matibabu ni kubwa sanaWe goma tu sisi tunaoipenda nchi tutakunywa ili mpate dawa hospital.
We Call it "A moment of truth"In alcohol there is truthView attachment 863430
[emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji87][emoji87][emoji87][emoji87][emoji39][emoji39][emoji39][emoji39][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Yule kichaaa anatuchafulia jina la POMBE mpaka watu wanaona pombe haifaiView attachment 863492View attachment 863493View attachment 863494View attachment 863495View attachment 863496
Kwani Jingalao wanakuhusisha kwenye hizo gharamaIla mnapoumwa gharama za matibabu ni kubwa sana
Hii thread haituhusu watumishi wa Mungu.Kwa heshima kubwa... Hii kaliba itambuliwe rasmi kama mdau mkubwa wa maendeleo hasa kwenye eneo la ulipaji kodi.. Ndio mshindi wa kwanza kila mwaka ikizishinda taasisi nyingine kwa mbali mno
Pamoja na sifa zote hizo lakini pia kaliba hii inakabiliwa na changamoto mbalimbali hasa
. Kushindwa kufanya migomo kila bei inapopanda
. Vituko baada ya kulewa
. Vibweka vya kila aina...
Kupitia mada hii hebu tuweke matukio yote yanayojiri kwenye uwanja wetu huo.... Tusisahau kutupiamo vyupa vyetu tukiwa viti virefu na vifupi... Zile za ofa na hata za kwenye sherehe...
Tupiamo hata zile sura zilizoharibiwa na ngumu kumeza....
CC: mrangi mzee wa OVA! YURE MUPE YURE MURUKE...!!!
[emoji87][emoji87][emoji87][emoji15][emoji15][emoji15][emoji35][emoji115][emoji115][emoji114][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]mtumishi baba paroko Asprin[emoji30][emoji30][emoji30]cc: dadaanguHii thread haituhusu watumishi wa Mungu.
Naikemea ikapate kushindwa na kulegea kama mlevi wa gongo iliyochanganywa na mnazi.
Hii thread haituhusu watumishi wa Mungu.
Naikemea ikapate kushindwa na kulegea kama mlevi wa gongo iliyochanganywa na mnazi.
[emoji39] [emoji39] [emoji39]Nibia nzur ila uwe umekula kitimoto
Hii thread haituhusu watumishi wa Mungu.
Naikemea ikapate kushindwa na kulegea kama mlevi wa gongo iliyochanganywa na mnazi.
Labda ni mtumishi wa shetani au wale wa kunjungaMtumishi gani uloninyanganya manzi Wanguuu??? We zeee me nakulia timing ndo utajua we ni Aspirin au Panadol dadekiiiii