Hivi kwa nini inakiwaga hivi[emoji23] [emoji23] [emoji23]Na kweli ubahili mwisho bia ya nne [emoji56][emoji56]
Mkuu nilifika salama na ndio naamka nipate supu nianze kulipa kodi maana leo sijaolewa.Sawa usiendeshe gari kwa speed.
Kanuni na misingi ya waingia UBIA wengi mate.Kanuni na misingi ya ulevi
nimefika salama mkuu na leo sijaolewa nalipa kodi mapema nikukere kama wewe jana.Hoya!
Mtafute mshikaji akdrive
Kama hauko stable
Ova
Safi sana mkuu, leo mapema kabisa wengine tupo mzigoninimefika salama mkuu na leo sijaolewa nalipa kodi mapema nikukere kama wewe jana.
Kumbe tunapendana ulinipa na tahazari kabisa, ila mimi ni mzoefu tangu 1996 nipo kwa rodi.
Pole sana leo nitawaringishia kama mrangi jana aliamsha dude wakati nipo kwa mume.Safi sana mkuu, leo mapema kabisa wengine tupo mzigoni
Salamu zimefika, muda sio mrefu naanza lipa kodi tuvumiloane kama mimi nilivyovumilia jana.Salimia wote hukoView attachment 869673
Poa poa mkuu...Pole sana leo nitawaringishia kama mrangi jana aliamsha dude wakati nipo kwa mume.
Mnywaji sio mchoyo abadan, ndio maana ukiwa mzima unakuwa bahili, zikipanda unatiririka [emoji42][emoji42][emoji42]Hivi kwa nini inakiwaga hivi[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Mwanza moja hiyo kuelekea Kibaha, nahisi leo ulabu ni maili moja..Siku mbili hizi acha tu niwe mpole.... Ila nitakapoliamsha dude...
Na kweli ubahili mwisho bia ya nne [emoji56][emoji56]
πππππ angalia usiije ukaamsha kwa hasira.Siku mbili hizi acha tu niwe mpole.... Ila nitakapoliamsha dude...
inategemea uwezo wa injini yako. wengine mbili tu, wengine mpaka kreti tatu.... [emoji12][emoji12]unadhani mm napaswa kunywa ngapi tu?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji87][emoji87][emoji87][emoji85][emoji85][emoji85][emoji86]inategemea uwezo wa injini yako. wengine mbili tu, wengine mpaka kreti tatu.... [emoji12][emoji12]
Mfano Miss Natafuta ukimuonyesha hela anakata kreti mbili na nusu.... [emoji125][emoji125][emoji125]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] CC strokeAlafu toka uzi huu uwekwe hewani na sisi wapenda kilaji ku share kwa nguvu zote.... mambo yetu humu ndani........tumezaliwa tunyuzi twingine....twa ajabu........ (miscellaneous)....mara eti.... oo uzi wa wanywa juice soda...na kuna kauzi kengine nimekaona leo ....ooh pombe inagombanisha familia....so pathetic