Mada maalum ya walevi na wanywa Pombe

inategemea uwezo wa injini yako. wengine mbili tu, wengine mpaka kreti tatu.... [emoji12][emoji12]
Mfano Miss Natafuta ukimuonyesha hela anakata kreti mbili na nusu.... [emoji125][emoji125][emoji125]

Hatare sana Miss Natafuta mm kwa wastani huwa ni beer 5. sasa ikitokea nikazidi hapo inakuwa balaa naweza fika hadi kreti alafu zinaamia chini alafu naanza kutoa offer kwa mwanamke atakaye nivutia.
 
Hatare sana Miss Natafuta mm kwa wastani huwa ni beer 5. sasa ikitokea nikazidi hapo inakuwa balaa naweza fika hadi kreti alafu zinaamia chini alafu naanza kutoa offer kwa mwanamke atakaye nivutia.
Sasa balaa ni pale inatokea umetembea na ATM kadi mfukoni, unaweza kwenda kupigana na watu wa benki siku inayofuata.. [emoji23][emoji23][emoji23]
 
ukiona nyuzi kama hizo ni kwamba wameshindwa kuandika kuuliza: jamani mnapatapataje hizo hela za kugongea ulabu....?[emoji851][emoji851][emoji851]
 
Hahahahahahahahaha, unanishauri nini?
Ukianza kwenda bar, hakikisha unamkabidhi mkeo ATM kadi na simu zako zote halafu mwambie aende kusalimia popote ila asikwambie anapoenda,
Muhimu asiwe anajua namba za siri za ATM kadi vinginevyo mtakutana viwanja na yeye kakusanya vijeba anazungusha raundi [emoji851][emoji851][emoji851]
 

Hatare sana!
 
Bank sasa tumezihamishia kwenye tekno zetu kupona ni nidhamu yako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…