Mada maalum ya walevi na wanywa Pombe

Mada maalum ya walevi na wanywa Pombe

Pole mshana Ila kez pub kimara Kona Bora ilikufa wanachomeka Bill,wanakupa valium wakuiibie,mabaunsa ndo wezi ,boss mkorofi Ile bar Kama uko Juarez Mexico
Mabaunsa nao shida nyingine wezi sana
Wananzisha ugomvi ukijitetea wanakuzia kesi watakuibia wallet na sim kama unazo
Mabaunsa wa aina hyo walikuwepo Ben pub na masai

Ova
 
Ndio maaana naogopaga sana,kujichanganya sana ,sichezi mbali na Mangi /,kwa shayo
 
Sie tuna augustino mrema hana neno mkuu mangi wetu Na kipindi hiki kilivyokigumu tuna improvise mambo ya kwenda Capetown fish market kwisha
Hahaha ,mie huko fish market ,sijui wapi hapana,nacheza na kwa shayo,nikisogea sana kwa love sinza pale karibu na meeda
 
Kuna muudumu nilimpa ofa ya msosi,,akaniletea bili ya elfu 10,,,,nikalipa huku roho inaniuma sana,,leo kaniudumia kwa bili,imefika kama elfu 65,pamoja na misosi,,,sasahivi nipo kwenye dala dala naelekea home,sijui nyuma kitatokea nini..sipendi ujinga kuleta bongo movie kwenye pesa za watu.
 
Baada ya kazi
20180913_190728.jpg
 
Kuna muudumu nilimpa ofa ya msosi,,akaniletea bili ya elfu 10,,,,nikalipa huku roho inaniuma sana,,leo kaniudumia kwa bili,imefika kama elfu 65,pamoja na misosi,,,sasahivi nipo kwenye dala dala naelekea home,sijui nyuma kitatokea nini..sipendi ujinga kuleta bongo movie kwenye pesa za watu.
😳 😳 😳 😀 😀 😀 😀
 
Utasikia yule kaka ana roho mbaya wakati wao wanatupigaga
 
Back
Top Bottom