Tresor Mandala
JF-Expert Member
- Aug 20, 2010
- 40,905
- 86,203
Watoto wa mjini wanaita kifutio,ukipiga ya kutosha lzm usahau baadhi ya matukioHahahahaha kinalainisha mwili
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Watoto wa mjini wanaita kifutio,ukipiga ya kutosha lzm usahau baadhi ya matukioHahahahaha kinalainisha mwili
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Duh Mkuu unatembea nazo nini,Jibapaaa
Iko poa sana, amini hilo,hii kitu inaonekana mwake sana
[emoji23][emoji23][emoji23]Ataenda motoni kuzimu jehanum [emoji23][emoji23][emoji23][emoji87]
safii!Naanza badaye nabadilisha Gia an gani na safari
Ova
itanibidi niionje siku hiiIko poa sana, amini hilo,
Mie ili mradi nyama na konyagi iwepoYa kondoo the best
Hahaha jf team gambeee labda[emoji23] [emoji23] [emoji23]JF team konyagi.... [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Join today n get free jibapa
Register your name here [emoji116][emoji116][emoji116]
...........................
Jamaa alijipanga kuandika hayo maneno,huwa nikinywa nyagi nasoma hayo maandishi ,najiuliza alifikiria nn huyu MTUYanahamasisha....
Kabisa Mkuu ,walijaribu kuleta ya kwaju waliniudhii mno ,na sijawahi hata kuionjaAkili kubwa haendi motoni huyu
Kweli hzi pombe umakini unatakiwa [emoji23] [emoji23] [emoji23]Gambe ina amino acid na colestrum bakteria na viashiria vya uchakachuaji.... Tuiache[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Tangu lini nyagi ikawa na ladha ya shurubati [emoji35][emoji34]walitukosea heshima sanaKabisa Mkuu ,walijaribu kuleta ya kwaju waliniudhii mno ,na sijawahi hata kuionja
Halafu MD pale alikua Anko Mgwasa MTU mmoja poa sana ,nadhani katoka sasa
Sana nilimwambia meneja wao mmoja hii kitu,hamtouza ,eti ukwaju na passion ,mpk zinaondolewa sokoni sijaonjaTangu lini nyagi ikawa na ladha ya shurubati [emoji35][emoji34]walitukosea heshima sana