Frank Wanjiru
JF-Expert Member
- Apr 12, 2012
- 22,719
- 40,739
Mkuu hii kitu ina alcohol ngapi?My best bia nikiwa pande hzView attachment 866395
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu hii kitu ina alcohol ngapi?My best bia nikiwa pande hzView attachment 866395
Wapoje MkuuIla hakuna walevi majasiri kama wanaokunywa Manzese, Tandika, Temeke Mikoroshini na Tandale.
Kuna siku nilifanya adventure Tandika ila zile sura kadri muda ulivyoenda nikasema hapa kazi ipo
Duh hiyo formula kama yangu aisee siku za weekend kama leo, naanzaga na Serengeti light mbili,piga tusker2,safari2,chui ndogo2 halafu natambaa na Kili ndogo mpaka machweo.Mie nimegonga safari ndogo , Windhoek,sasa Heineken kichwa naona kimeanza kupata moto
Mambo karibu tuleweMkuu hii kitu ina alcohol ngapi?
Mgejiendeleza zaidi mngekuwa wataalam wa KemiaDuh hiyo formula kama yangu aisee siku za weekend kama leo, naanzaga na Serengeti light mbili,piga tusker2,safari2,chui ndogo2 halafu natambaa na Kili ndogo mpaka machweo.
Ujasiri wa kunywa maeneo ya Watu waliopinda!!Wapoje Mkuu
Safi tuu,asante sana. Leo sinywi ngumu unayokunywa wewe. Karibu na wewe.Mambo karibu tulewe
Ya ngapi hii?Mhudumu ongeza glassView attachment 866418
Hahahhàhahaha tena wa Atomic kabisaMgejiendeleza zaidi mngekuwa wataalam wa Kemia
Hahahahaha hiyo mbona kawaida Mkuu, ushawahi kunywa bar tena kaunta na hapo hapo mtu anakusachi?Ujasiri wa kunywa maeneo ya Watu waliopinda!!
Alc 5% ndogo tu ,mpk sasa nishapiga 6 jumla Alc 30 % ,bado sana MkuuMkuu hii kitu ina alcohol ngapi?
Walete walete waleteeeeeAlc 5% ndogo tu ,mpk sasa nishapiga 6 jumla Alc 30 % ,bado sana Mkuu
Mwendo mdundoWalete walete waleteeeee
Mupe huyu yule murukeWadau vipi mshaanza kuhesabu vizibo?
Naona wadau washaanza kushika viuno vya wahudumuWadau vipi mshaanza kuhesabu vizibo?
Hahaha ,nilijua tuNaona wadau washaanza kushika viuno vya wahudumu