Mada maalum ya walevi na wanywa Pombe

Mada maalum ya walevi na wanywa Pombe

Huku kolomije zinaitwa raha banana zinatoka arusha njiro.mbuna mbundi anauzia hasa moshi arusha
 
Ngoja tuimalize jpili kwa style hii
 

Attachments

  • tmp-cam-1890580970.jpg
    tmp-cam-1890580970.jpg
    50 KB · Views: 30
Kweli babaako yaani ukiwa na buku mbili tayari uko yechu yechu ushapendezaaaa
Mi buku mbili kirikuu kimoja sisikii kitu labda virikuu saba ndio naanza kutoa loku👊👊😂🙌
Ashee mm nipo dar inauzwa 800.nikiwa na 5000 napata na ya fegi eroo
 
Kweli babaako yaani ukiwa na buku mbili tayari uko yechu yechu ushapendezaaaa
Mi buku mbili kirikuu kimoja sisikii kitu labda virikuu saba ndio naanza kutoa loku👊👊😂🙌
Ashee mm nipo dar inauzwa 800.nikiwa na 5000 napata na ya fegi eroo
 
Kwa heshima kubwa... Hii kaliba itambuliwe rasmi kama mdau mkubwa wa maendeleo hasa kwenye eneo la ulipaji kodi.. Ndio mshindi wa kwanza kila mwaka ikizishinda taasisi nyingine kwa mbali mno
Pamoja na sifa zote hizo lakini pia kaliba hii inakabiliwa na changamoto mbalimbali hasa
. Kushindwa kufanya migomo kila bei inapopanda
. Vituko baada ya kulewa
. Vibweka vya kila aina...
Kupitia mada hii hebu tuweke matukio yote yanayojiri kwenye uwanja wetu huo.... Tusisahau kutupiamo vyupa vyetu tukiwa viti virefu na vifupi... Zile za ofa na hata za kwenye sherehe...
Tupiamo hata zile sura zilizoharibiwa na ngumu kumeza....

CC: mrangi mzee wa OVA! YURE MUPE YURE MURUKE...!!!
Duh,kwa hiyo sasa hivi jamaa wa masanga watakua na fulsa ya kuleta malalamiko yao hapa
 
Back
Top Bottom