Mada maalum ya walevi na wanywa Pombe

Mada maalum ya walevi na wanywa Pombe

Sina ubavu muda huu.. Subiri kesho
Tuko tunaendelezaaa[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Nko pande za hawaiii kimara baruti

Ova
20180918_181002.jpg
 
Hotel ya makuti kwenye kituo cha mafuta. Sasa saa mbili mbona mbali bro, si unajua tupo na boss. Halafu kesha changamka, ndio tunaondoka ila tupo m. moja mpaka wiki ijayo kwa hiyo tutaonana tu bro
 
Hotel ya makuti kwenye kituo cha mafuta. Sasa saa mbili mbona mbali bro, si unajua tupo na boss. Halafu kesha changamka, ndio tunaondoka ila tupo m. moja mpaka wiki ijayo kwa hiyo tutaonana tu bro
Dah haina shida niwatakie safari njema niko baada ya kituo kipya
 
Back
Top Bottom