Mla Bata
JF-Expert Member
- Jan 24, 2013
- 7,841
- 17,491
Haha mkuu angalia vizuri daftari la mahudhurio , haijawahi pita siku bila kutembelea uzi wetu huu pendwa.ID yako ilipaswa kuwa na michango mingi hapa... Karibu sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Haha mkuu angalia vizuri daftari la mahudhurio , haijawahi pita siku bila kutembelea uzi wetu huu pendwa.ID yako ilipaswa kuwa na michango mingi hapa... Karibu sana
Mimi niliwaambia wale wamama hapa mnabebwa na jina tuila huduma zenu mbovu. Tukiacha kuja sijui mtaishije lakini bado mnatufanyia mauzi.Wapuz wale wanangalia sura waanababaikia
Nisha wapaga makavu zamani hapo
Pale ni kwenda kukaa kauntaa tu
Ova
Alafu hakuna watu nuksi kama wanywajiMi nilipapita enzi za JK. Kwa Octa kwa Octa kweli. Sasa hivi pamebaki jina.
Ndo dawa yaoAlafu hakuna watu nuksi kama wanywaji
Ukituzingua tunahama na konvoy letu wote
John feza alituzinguaga ah tukaambiana tukawa tunakunywa pembeni yake dukani kwa mangi bar ilikufaaa
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Ova
Naomba radhi basi.. Sijui kwa vile niko sober?? [emoji24][emoji24][emoji24]
Mimi niliwaambia wale wamama hapa mnabebwa na jina tuila huduma zenu mbovu. Tukiacha kuja sijui mtaishije lakini bado mnatufanyia mauzi.
Wanakera Sana. Ningekua owner natimua wote mpaka manager
Umoja wetu haujawahi kushindwa popote..Alafu hakuna watu nuksi kama wanywaji
Ukituzingua tunahama na konvoy letu wote
John feza alituzinguaga ah tukaambiana tukawa tunakunywa pembeni yake dukani kwa mangi bar ilikufaaa
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Ova
Mngempa makavu [emoji23] [emoji23]Mimi niliwaambia wale wamama hapa mnabebwa na jina tuila huduma zenu mbovu. Tukiacha kuja sijui mtaishije lakini bado mnatufanyia mauzi.
Wanakera Sana. Ningekua owner natimua wote mpaka manager
Kbsa mwishowe lazima wa angukeUmoja wetu haujawahi kushindwa popote..
Alikuwa anazuzuliwa na yule mhudumu mwenye tako... Lakini pia hata ishu ya dokta ilichangia nadhani kama sikoseiMngempa makavu [emoji23] [emoji23]
Sisi hadi owner tulimpa makavu tu kahamia kwa jamaa pale kribu na ultimate
Ova
Sikumuona hata manager. Nilitaka kumuita ni mwambie wenzangu wakakataaMngempa makavu [emoji23] [emoji23]
Sisi hadi owner tulimpa makavu tu kahamia kwa jamaa pale kribu na ultimate
Ova
Leo na mimi nimekamatika nitaziona huku jf mpaka jioni. Dah!.Dah bado niko kifungoni
We cheka tu lakini nateseka.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
HahahaHebu weka location niko mbali lakini nadhani kuna wadau hawako mbali na hapo