Mada maalum ya walevi na wanywa Pombe

Mada maalum ya walevi na wanywa Pombe

Wanywaji wana fitna mbaya sana.
Wamiliki wqnasahau wanywaji mara nyingi wanakuwa walewale baa flani. Mwishowe wanaambizana.

Kuna kibinti kimoja counter nipo na rafiki yangu imefika saa sita eti amechoka hawezi kuhudumia. Ni mzuri kweli kweli wanasema mmiliki anapumzika pale. Ila tulimwambia Meneja....sasa hivi ameondolewa
Ah sisi tunawakimbiaaga tu
[emoji23] alafu wakishaanzaga kuwa makini mahusiano na boss zao wafnya kazi bar wanakuwga jeuri sana

Ova
 
Nilihama kwa Octa nikahamia kwa salma pembeni,vipi bado pako ,maana dah long time
Reading pub ......nmekja one time

Ova
20180920_211520.jpg
 
Wanywaji wana fitna mbaya sana.
Wamiliki wqnasahau wanywaji mara nyingi wanakuwa walewale baa flani. Mwishowe wanaambizana.

Kuna kibinti kimoja counter nipo na rafiki yangu imefika saa sita eti amechoka hawezi kuhudumia. Ni mzuri kweli kweli wanasema mmiliki anapumzika pale. Ila tulimwambia Meneja....sasa hivi ameondolewa
Mlevi ni MTU muhimu sana,si kwa serikali tu hata kwa mmliki wa bar ,km una bar/grocery humsikilizi mnywaji wako unafeli
 
Kwa heshima kubwa... Hii kaliba itambuliwe rasmi kama mdau mkubwa wa maendeleo hasa kwenye eneo la ulipaji kodi.. Ndio mshindi wa kwanza kila mwaka ikizishinda taasisi nyingine kwa mbali mno
Pamoja na sifa zote hizo lakini pia kaliba hii inakabiliwa na changamoto mbalimbali hasa
. Kushindwa kufanya migomo kila bei inapopanda
. Vituko baada ya kulewa
. Vibweka vya kila aina...
Kupitia mada hii hebu tuweke matukio yote yanayojiri kwenye uwanja wetu huo.... Tusisahau kutupiamo vyupa vyetu tukiwa viti virefu na vifupi... Zile za ofa na hata za kwenye sherehe...
Tupiamo hata zile sura zilizoharibiwa na ngumu kumeza....

CC: mrangi mzee wa OVA! YURE MUPE YURE MURUKE...!!!
One for the load
 
Back
Top Bottom