kisikiji
JF-Expert Member
- Feb 2, 2015
- 2,530
- 2,494
Kwahiyo ndio kusema tuna mwanachama nguli hivyo?.Shetani atakua mwanachama wa walipa kodi 😀😀😀
Basi naomba kijiuzulu au utengue kauli.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwahiyo ndio kusema tuna mwanachama nguli hivyo?.Shetani atakua mwanachama wa walipa kodi 😀😀😀
Hahaha, natengua kauli na kuifuta kabisaKwahiyo ndio kusema tuna mwanachama nguli hivyo?.
Basi naomba kijiuzulu au utengue kauli.
Wanafanya utani na kiu au?Mkuuu tunahamia counter sasa,naona wahudumu wanachelwa tuView attachment 873636
Nimefuta kauli yangu naomba unisameheKwahiyo ndio kusema tuna mwanachama nguli hivyo?.
Basi naomba kijiuzulu au utengue kauli.
Nikaribishe hakika nitatokea.Ilikuwa jana hiyo ila kesho nitarudi tena pale[emoji23]
And who's Sasha?Malizia sentence Sasha basi.. Mualike
Shaka ondoa mkuuNikaribishe hakika nitatokea.
Mkuu shikamooLeo siwezi kuteseka kama jana, mitaa ya kwa ya dukani muda huu baadae majanga (baa).
Mshana Jr
mrangi
Mzigua90.View attachment 873177
AjiongezeHii kitu inaitwa pilsner king naona maeneo mengi bado haijatufikia kwa kwel.. distributors hawako makin
Kuna mmoja hapa kasema eti anakunywa bia achangamke. Nimekwambia aache pombe maana hajui maana ya kunywa pombeNamshangaa sana mtu anaekunywa pombe kama starehe
Mimi nakunywa ili nilewe
Usirudie tena siku nyingine, nimekusamehe.Nimefuta kauli yangu naomba unisamehe
Ewaaa...halafu nimekumis wew kiumbeKuna mmoja hapa kasema eti anakunywa bia achangamke. Nimekwambia aache pombe maana hajui maana ya kunywa pombe
Nipo we kakaEwaaa...halafu nimekumis wew kiumbe
Mm ni mlevi/mnywaji nguli ,Merci kwa msamahaUsirudie tena siku nyingine, nimekusamehe.
Na je unalipa kodi au umeshatusaliti?.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji91] [emoji123]Nipo we kaka