Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mwenyekiti kuna manager au wmiliki wa bar wateja wakijaaa wanafanya mchongo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]safi sana
Hii mitaa Nina history nayo ,hivi ufipa ile bakery bado ipo ?Kopakabana syo ya kwa makoma ni ya Kino mtaa Togo Karibu na ufipa street
Ova
Ufipa bakery ya waarabu waleHii mitaa Nina history nayo ,hivi ufipa ile bakery bado ipo ?
Na pale mtaa wa Togo Ccm ,sokoni kulikuaga na pembea zipo ?
Mwisho kabisa kulikua na pub ya mdada mmoja mbishi wa chadema white hv ,nadhani mama ake ni diwani au mbunge na yy aligombeaga udiwani upanga
ni hatari sana mkuuHaaaaaa mkuu ulizidishi divai!!
Mm nasafiri tu[emoji23] [emoji23] [emoji23]DAH UZI WETU PENDWA NA POMBE ZETU PENDWA NGOJA NIKASAFARIKE SASA
Hahaha, kulikua na Mzee mmoja wa kinyamwezi anafanya kazi Kilimanjaro hotel unakumbuka?Ufipa bakery ya waarabu wale
Mm nmekaa pale enzi za a Ajax ili kuwa shidaa
Bembea hakuna mm nlitoka hko ila nmekulia hapo
Bakery ya mzee bawaziri kama sikosei
Ova
Swadakta, umenikosha sana Leo,halafu umekaa kauntaLeo nashtua baada ya kupumvika siku mbili tatu. View attachment 879633
Duh naweza mpata ukinipa clueHahaha, kulikua na Mzee mmoja wa kinyamwezi anafanya kazi Kilimanjaro hotel unakumbuka?
Walikua wanakaa upande wa makaburi ( yaani nyuma kuna makaburi) pembeni kuna ka njia HVDuh naweza mpata ukinipa clue
Ova
Ah nahisi hawapo ila mm napitaga sana hukoWalikua wanakaa upande wa makaburi ( yaani nyuma kuna makaburi) pembeni kuna ka njia HV
Kwa akina makinda long time hy ujue
Walihama kitambo, mie walikua ndugu tu ,maza ananitoa regent jmos naenda hapo jpili jioni nafuatwa ,j3 shuleAh nahisi hawapo ila mm napitaga sana huko
Si pale mkunguni
Unakumbuka mbabe wa Kino anaitwa Bob chura
Ova
Kino mm hakuna mtu asiyenijua maana enzi zile za Ajax pressure ilikuwa balaaaaWalihama kitambo, mie walikua ndugu tu ,maza ananitoa regent jmos naenda hapo jpili jioni nafuatwa ,j3 shule
Kabombe mbali ,hapa karibu na ofc za cdm upande ule nyumba yenye uchochoro wa kwenda makaburini nyumaKino mm hakuna mtu asiyenijua maana enzi zile za Ajax pressure ilikuwa balaaaa
Mungu alitunusuru
We nambie ufipa sehemu gani au kama unakwenda kwa kabombe
We utakuwa unanijua tu
Ova