Mada maalum ya walevi na wanywa Pombe

Mada maalum ya walevi na wanywa Pombe

Wadau wenzangu wanywaji walevi wenzangu hapa kuna debate hapa mezani
Kuna jamaa anasema konyagi inaua macho Je ni kweli ?

Ova
Muongo mkubwa huyo hayo matobo tungekuwa tunayaonaje?
Nimeanza hivi
IMG_20180927_193936_1.jpg
 
Ili kupata taste tofauti siku moja nikajichanganya Tandika ndanindani kula monde. Zile sura nilizoziona pub bia ilikuwa haishuki vizuri hahaaa.

Nikalipa bill kisiri halafu nikazuga naenda toilet huyoooo nikatokomea
Hahahahaaaa.......[emoji1] [emoji1] [emoji1]
Tembea na spray mate huto vamiwa. Karibu mataiko* BAR Kona za temeke hospital hapa
 
Back
Top Bottom