Mada maalum ya walevi na wanywa Pombe

Mada maalum ya walevi na wanywa Pombe

Blaki Womani kama hivi
1538766224805.jpg
 
Nlikua natumia vitu
vizito vizito kina k vant na wenzie,


nikahamia kwenye zanzi mara viroba
vikazuiliwa, nikanywa kanywa wine naona inanivuruga tu, nmehamia rasmi kwenye Heineken
Iyo Heineken nmeacha Siku nyingi sana, baada ya uchumi kuyumba! Lakini sasa hivi naenjoy vitu vikali! Kama konyagi!
 
Back
Top Bottom