ROBERT MICHAEL
JF-Expert Member
- Oct 23, 2012
- 5,054
- 2,858
[emoji3] [emoji3] [emoji3]Nko kiwanja Robert Michael
Ova
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji3] [emoji3] [emoji3]Nko kiwanja Robert Michael
Ova
Yap , hapo jmosi Mungu akijalia nitapatinga tenaKiwanja chako hki mzee baba
Ova
Vitu laini lainiMdogomdogo leo huko tumboni full shangwe....wee subiri kesho ngumu kumeza mwanzo mwisho[emoji848][emoji848][emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 893563
Mm hii kwishneyy [emoji23] [emoji23]
Musuli.....musuli sana [emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji322][emoji322][emoji322][emoji322][emoji323][emoji323][emoji323][emoji1531][emoji1531][emoji1531][emoji1548][emoji1540][emoji1540]Brandy:
Hii ni aina moja wapo ya pombe kati ya nyingi kama whisky, beer, Gin, Rum, Vodka n.k.. Aina hii ya pombe wataalam wanasema ni Antioxidant-mimi sio mfamasia-hivyo nitaielezea kwa lugha ya kawaida (yetu wanywaji na uzoefu wangu).
Kuna wakati unaweza toka pata msosi(lets say pilau, wali n.k) ukahitaji kunywa beer baada ya hapo, lakini tumbo linagoma kabisa sbb liko full. Basi brandy ndio mahala pake. Brandy ni pombe inayofaa sana kuitumia baada ya kula. Hii inalegeza tumbo na kukupa nafasi ya kuendelea na vinywaji kama beer. Ukimaliza kula ni nzuri kuitumia ikiwa kavu pasi na ice. Sometime tumbo unaweza liona haliko sawa kabisa kutokana na mfululizo wa pombe, basi brandy ni tiba nzuri sana.
Katika matumizi ya kawaida ni nzuri ukiichanganyia na vinywaji ambavyo vinaasili ya coke like coca cola n.k
Kama tunavyojua, pombe nyingi ni booster sana (nadhani nimeeleweka). Basi brandy ni moja ya booster ya hatari sana. Ukiifanya na cocktail ya wine, basi 'vita ni vita'.
Kitu pekee cha tahadhali ya hizi brandy ni kuua macho. Ukizitumia kwenye glass zikiwa kavu (bila ice) zinaweza sana kukuua macho kutokana na mvuke wake.
Brandy ninazozihusudu sana ni Valuer.
CHEERSView attachment 893819View attachment 893843
Leo mapema sanaaaaa hata wale vijeti wat ashangaa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]