mrangi
JF-Expert Member
- Feb 19, 2014
- 88,759
- 123,368
Nimekaaa sehemu kanifata mama mmoja anasema haiwezekani maana kila akinionaga anasema napigaga chicha[emoji23] [emoji23] Leo ksema tujumuike wote huyu mama huwa anafanyaga usafi barabara ya mwinjuma leo anasema anataka weekend angular aione na hjanywa bia Miaka kama 6 hvi na nlipomuliza yeye anapendeleaga bia gani anadai ni SAFARI LAGER[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kwa sababu na mimi ni mdau wa safari lager nkaona acha nimridhishe nafsi yke so wkend leo nko naye
Ova