Mada maalum ya walevi na wanywa Pombe

Mada maalum ya walevi na wanywa Pombe

Sasa na wewe unaniletea kiswahili cha Tanga? Kuna bidada kanieleza ni cheni za miguuni. Hiyo nimeipata. Unaenda kanisani kesho au ? Mimi bado nasubiri full moon.
[emoji23][emoji23][emoji23]shikamoo dada nilisahau kukusabahi ...kesho kuna retreat mikocheni na nimeambiwa nisikose
 
Kwa kweli tunabaguliwa sana, tunataka serikali itutambue haswa kipindi hiki cha kodi ni muhimu
Vyombo vinaongezeke maisha yanaendelea

Ova
20181013_173132.jpg
 
Duu ...tumeilewesha JF...ona SAS inavyochanganyikiwa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Screenshot_20181013-173652.jpeg
 
Hii kitu ilinifanya nikose mke wa kisabato,,,,alinambia chagua kimoja kati ya '' Mimi na mi pombe yako" nikachagua mi pombe yangu
Ulifanya uamuzi wa busara sana arif Huyo mlokole angekutoa roho,tuzidishe mapenzi kwa keroro maana ni muaminifu na hana ubaguzi,hajawahi mkataa mtu
 
Back
Top Bottom