Mada maalum ya walevi na wanywa Pombe

Mada maalum ya walevi na wanywa Pombe

Pia nimegundua kwacc wanachama wa humu ukiandika lazima useme ova

Haya mshana uthi vamphare tukundie mawa hariiiiikaaaa ova
Ova..! [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Nikilewa sana huwa nalia machozi kwa sauti

Ova
Nyagi mpyaa
Dozi inaendelea

Ova
20181022_192059.jpg
 
Niko na Wana wa ilala nko na Wana wa tmk nko na Wana wa Kino
Dah combination hatari sana

Ova
 
Back
Top Bottom